Serikali ya Tanzania imesema kuna baadhi ya viongozi nchini humo kwa maslahi yao binafsi wanachangia katika uharibifu wa mazingira ikiwemo vyanzo vya maji na kupelekea mito kukauka. Aidha ...
Wanasiasa saba wa upinzani wakiwemo viongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema wameachiwa huru baada ya kukamilisha masharti ya dhamana. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Mkutano huu ambao umethibitishwa na rais wa Kenya, William Ruto, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unakuja siku kadhaa kupita tangu viongozi wa jumuiya hizo kwa nyakati tofauti ...
Viongozi wa nchi na serikali, wamekutana jijini Addis Ababa kujadili kuundwa kwa taasisi ya Afrika itakayoshughulikia utathmini wa mikopo kwa nchi ya Afrika hii ikiwa ni mkakati wa Afrika kuondoka ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果