Imekuwa ni afueni kwa Wakenya baada ya serikali kutangaza kupunguzwa kwa bei ya unga na kuondoa ushuru unaotozwa kwa bidhaa kama vile maziwa na sukari. Kwenye kikao na waandishi mjini Nairobi ...
Washtakiwa wengine kumi na tisa walihukumiwa vifungo vya jela. Zhang Yujun alishtakiwa kuhatarisha afya ya umma kwa kutumia njia hatari baada ya kuuza zaidi ya tani 770 za maziwa hayo ya unga ...