Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katik ...
Siasa katika sekta ya umeme nchini Tanzania hazikuanza mwaka huu. Zilianza tangu wawekezaji binafi waliporuhusiwa kuzalisha umeme mwanzoni mwa miaka ya 1990. Baadhi ya kampuni za wazalishaji ...
Lakini sasa waziri Makamba anasema ni wajibu wake kuwaambia wananchi ukweli kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme nchini Tanzania: "Hatutawadanganya Watanzania kuhusu yaliyopo, tukifanya hivyo ...
Mamlaka za Tanzania zimeanzisha mgao wa umeme kutokana na kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaosababishwa na ukame ambao umeathiri vyanzo vya maji. Baadhi ya maeneo yatarajiwa kukosa huduma hiyo ...