Maelezo ya picha, Kenyatta aliendesha kampeini zake kwa kuhisrikiana na mgombea mwnza kutoka mkoa wa bonde la Uffa William Ruto Uhuru ulishindwa katika uchaguzi wa 2002 alipata asilimia 31 za kura tu.