Kuwepo kwa maji haya sio thibitisho kamili kwamba vitu vilivyo na uhai vinaishi katika mwezi huo mdogo lakini teknolojia zinaweza kutumika kupima maji hayo na kutoa ushahidi zaidi. Nasa kuchunguza ...
"Bila maji, huna uhai," Prof Manga alisema. "Kwa hivyo ikiwa kuna mazingira ya kuishi kwenye Mars, basi yanaweza kuwa chini ya ardhi." ...