Kuna miradi kadhaa ambayo inaendelea ili kuurejesha msitu huo katika hali yake ya awali. Ufugaji wa nyuki ikiwa ni moja ya njia itakayoweza kurutubisha mimea na kufanya jitihada za kurejesha msitu ...
Nchini Kyrgyzstan, muswada wa sheria ya kupiga marufuku uvaaji wa nguo za kufunika uso na ufugaji ndevu refu umepelekwa kwa umma ili kujadiliwa. Mijadala mikali sana imefanyika. Wapo watetezi na ...
Tanzania kama ilivyo kwa nchi zingine za Kusini mwa Jangwa la Sahara ina idadi kubwa ya mifugo ya asili kuliko iliyoboreshwa. Hivyo, kaya zinazojishughulisha na ufugaji zinafuga mifugo ya asili.
Amesema matumaini ya JKT ni kuzalisha chakula cha kutosha kwa ajili ya kugawa kwa vikosi vingine na kuongeza uzalishaji.
Wafugaji kuku wa nyama wametakiwa kuepuka matumizi ya dawa za antibayotiki ambayo kwa sasa yamekuwa tishio kwa kuongeza usugu ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia ...