Rais wa Jamhuri ya kidemocracy ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Uganda Yower Museveni, kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana katika sekta za afya, nishati madini na biashara, Lakini pia ...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amemaliza ziara yake ya siku mbili huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo alijadili hali ya usalama na mwenyeji wake Rais Félix Tshisekedi, ambaye ...