Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi wakisubiri amtangaze Makamu wa Kwanza wa Rais wa visiwa hivyo. Tayari uongozi wa ...