Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, amewataka askari polisi wanawake kutoka kwenye Shirikisho la Majeshi la Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) washiriki ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekanusha madai ya ukiukaji haki za binadamu pamoja na mauaji dhidi ya wakazi wa eneo la Nyamongo linalozunguka mgodi wa machimbo ya dhahabu wa North Mara ulioko ...