Picha ghushi za utupu za zaidi ya wanawake 100,000 zimetengenezwa kutoka kutoka kwenye picha za mitandao ya kijamii kisha kuchapishwa mtandaoni, kutokana na ripoti mpya. Nguo zinavuliwa kutoka ...
BBC imefichua mtu aliyekuwa nyuma ya moja ya vikundi hivi. "$6 kwa picha zake za utupu, nitumie ujumbe DM." "Nina video zake ambazo ninataka kuuza." "Tutamfanya nini?" Kuangalia picha na maoni ...