Siasa za Kenya kwa miaka mingi tangu nchi hiyo ipate uhuru wake mwaka wa 1963 zimeegemea familia za Mzee Jomo Kenyatta na Jaramogi Oginga Odinga, mashujaa wawili wa vita vya ukombozi, ambao miaka ...