Kutoka mwaka 1980 mpaka 1983 akapandishwa kazi katika ofisi hiyo ya rais na kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa. Pia kwa vipindi tofauti katika utumishi wake amekuwa mhadhiri mtembezi ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema usaili wa walioomba ajira kwenye ...
Ofisi ya Makamu wa rais ni Selemani Jafo Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora ameteuiliwa Mohamed Mchengerwa, na aliyekuwa Waziri katika Wizara hiyo George Mkuchika, atabaki kuwa Waziri ndani ya ...
Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza usaili wa ajira za kada ya ualimu ambazo awali usaili wao ulisitishwa kwa muda, utafanyika kuanzia Januari 14, 2025 hadi Februari ...
Amesema Serikali inalenga kupunguza umasikini kwa kuwasaidia kifedha wananchi wasiojiweza na kushughulikia changamoto za msingi zinazowakabili katika maeneo yao wanayoishi.
RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, kusimamia kwa umakini masuala ya milipuko ya ...