Maelezo ya video, Fahamu wosia wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi kwa Rais Samia Suluhu ... Muungano wa Tanzania alipumzishwa katika nyumba yake ya milele huku huzuni, simanzi na ...
Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameaga dunia. Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Alizaliwa tarehe 5 mei ...