Kamisheni ya Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC), inayosimamia mchezo huo nchini huo, ilichukua uamuzi huo kutokana na kuingia na wasiwasi juu ya afya ya mandonga kufuatia kuchapwa mara mbili ...