Ndovu tisa wameuawa kwa kupiwa na umeme kati kati mwa Botswana baada ya kuangusha nyaya za umeme walipojaribu kunywa maji kutoka na bomba lililokuwa likivuja, kwa mujibu wa shirika la Reuters ...
Kwa mujibu wa wanaharakati, hii ni kesi kubwa inayohusu ulanguzi wa pembe za ndovu kuwahi kushuhudiwa Tanzania. Mnamo mwaka 2015, jopo maalum la maafisa wanyama pori nchini Tanzania liliwakamata ...