Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuongoza wakuu wa nchi wengine wa Afrika katika majadiliano ya pamoja ...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameapa kuendelea kusimama na nchi ya DRC, licha ya shinikizo kutoka ndani ya nchi yake ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikuwa na ratiba ngumu sana mwishoni mwa Januari.
Kundi la M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limekuwa kwenye mapigano ya muda mrefu na Serikali ya DRC, ambapo sasa ...
Rwanda siku ya Jumapili imekaribisha wito wa mkutano wa kilele wa makundi mawili ya kikanda ya Afrika kujadili mzozo unaozidi ...
Tanzania imeng’ara si tu kwa kuratibu kwa mafanikio mkutano huu, bali pia kwa kujizolea sifa kwa ukinara wa matumizi ya ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi ...
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache ...
Rais wa Benki ya Dunia, Ajay Banga, amesema mkutano huo unatarajiwa kutoka na sera zitakazohakikisha watu milioni 600 ...
DONALD Trump amekula kiapo na sasa ni Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Marekani kwa awamu ya pili. Wakati anaingia White ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kuwa Tanzania inachukulia mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi ...