Wimbo huo uanaonekana kupokelewa vyema na mashabiki wa mziki kwani tayari umetizamwa zaidi ya mara milioni moja nukta tano kwenye mtandao wa YouTube, licha ya wengi kumkashifu Tanasha mwanzoni mwa ...