Mwana wa chui hawezi kubadili madoa doa katika ngozi yake lakini simba huyo hajali hilo. Picha hizi ni za kwanza kuchukuliwa simba akimnyonyesha mwana wa chui kutoka jamii nyengine ya wanayama ...