Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki atazikwa kijijini kwake Othaya, Nyeri Jumamosi ya tarehe 30, Aprili. Mwili wake utakuwa bungeni kati ya Jumatatu tarehe 25 Aprili na Jumatano, Aprili 27.