Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika. Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni ...