Ilikuwa ni kama dakika mbili hivi - Mama yangu aliuliza 'unasema nini?'. Nilikuwa mpweke niliye jawa na hofu." Mtoto wa Marriam alizaliwa Januari 18 saa 20:27 za eneo akapewa jina la 'Ahmad' na ...
Kwahivyo malezi yake ya kimsingi akiwa mtoto yalikuwa mikononi mwa bibi, ila alitamani sana malezi ya upendo wa mama yake, vitu ambavyo hakuvipata. Mumbi anasema kuwa ni maswali ambayo alizidi ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watu watatu wakiwa na mtoto wa miezi saba, Merysiana Melkzedeck, wanaodaiwa kumwiba kwa wazazi wake katika tukio la uvamizi lililotokea Januari 15, mwaka huu ...
Mtoto wa Hasina Sajeeb Wazed amekanusha tuhuma za ufisadi zilizotolewa dhidi ya mama yake, yeye na binamu yake.Picha: DW Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, alisema Siddiq amekana ...