Makumbi ni mmoja kati ya washindi wanane waliopokea tuzo za Windham Campbell kwa mwaka huu katika uandishi wa riwaya za kubuni ,uhalisia ,maigizo na ushairi na yeye ni mshindi pekee aliyechapisha ...