Sasa inajumuisha nyumba, gorofa ya kibinafsi na duka," anasema Adam Haddow, mkurugenzi wa SJB. Mshindi wa tuzo ya WAF ya Miundo ya Ndani ya Dunia ya Mwaka wa 2023, nyumba hii inasimama kwenye ...
Ni kawaida kuona miundo hii kwenye paa za majengo ya miji ... Hili husababisha hewa yenye joto iliyo ndani kupaa na kutoka nje ya nyumba kupitia mnara ikisaidiwa na msukumo ulio ndani ya nyumba.