Kwahiyo, sasa tunafahamu milio ya sauti za upasuaji wa miamba zinavyosikika katika dunia nyingine. Chombo cha Shirika la anga za mbali la Marekani kinachofahamika kama Perseverance rover ...
Wanasayansi wamegundua hifadhi ya maji kwenye sayari ya Mars - ndani ya miamba wa sayari hiyo. Ugunduzi huo unatokana na uchambuzi mpya wa data kutoka kwa chombo cha Nasa kilichochunguza matukio ...