Chanzo cha picha, Simba SC Kabla ya mechi ya leo, Simba walicheza bila uwepo wa mashabiki katika mechi ya nyuma ya kundi hilo dhidi ya Al Merrikh uliochezwa Machi 16 ambapo waliibuka na ushindi wa ...
Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Hakuna kuzubaa ndiyo kauli mbiu ya duru la pili katika Ligi Kuu Bara wakati mchakamchaka wa ligi hiyo ukiingia raundi ya 20, ...