Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, masharti ambayo yanakosolewa na Ukraine.
Katika chapisho kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Truth, Trump alielezea mazungumzo yao yalikuwa "mazuri sana" na ...
LICHA ya kushindwa kubebwa na rekodi ya kupata matokeo mazuri mechi za ugenini Ligi Kuu Bara, kocha wa KMC, Kally Ongala ...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi imeshangazwa na mazingira mazuri ya zahanati katika mgodi wa Bulyanhulu.