Lakini ukweli wa mambo ni kwamba utamaduni huu sasa unaanza kutiliwa mashaka na kuchunguzwa kwa undani huku watu wakitafuta mbinu zao za kujifafanulia mapenzi ni nini. BBC News, Swahili Ruka hadi ...
Pia inafichua mengi kuhusu jinsi wanavyounda upya mapenzi na ngono Situationship kwa kawaida ni uhusiano usio rasmi kati ya watu wawili. kuna vipengele vya mawasiliano ya kihisia na kimwili.