Ukifunua mfuniko wa kasha hilo ndani pia kuna mapambo ya mbinu ya maki-e ya maua mwitu, ndege wadogo na vipepeo kwenye msingi wa vanishi ulionyunyiziwa unga wa dhahabu. Mbinu za kung’arisha kwa ...