STRAIKA wa Liverpool, Darwin Nunez inadaiwa ni mmoja wa wachezaji walipewa ruhusa ya kuondoka timu hiyo dirisha lijalo la ...
DIRISHA la uhamisho wa majira ya baridi ya 2025 limekuja na kutoweka, huku klabu zote barani Ulaya zikiboresha vikosi vyao ikiwa ni nusu msimu huu. Usajili huo ulihusisha baadhi ya watu wenye majina m ...
REAL Madrid imeripotiwa kufungua milango ya kumpiga bei kiungo Eduardo Camavinga kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ...
kutoka chuo cha michezo (anauzwa). Chelsea italazimika kuwasilisha kikosi cha wachezaji 25 baada ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi ambacho ni lazima kiwe na angalau wachezaji wanane 'wa ...
Manchester United inapambana kuhakikisha straika wa Napoli na Nigeria, Victor Osimhen anayecheza kwa mkopo Galatasaray anatua ...
(ESPN) Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo majira ya kiangazi, huku kocha wa Bayer Leverkusen Xabi Alonso akipigiwa upatu kuchukua nafasi ya Muitaliano huyo.
Aliitumikia Manchester United kwa mkopo katika msimu wa 2023/2024 na kushindwa kuishawishi ibaki naye moja kwa moja.