Maji yanayosonga kwa kasi yamesomba makaburi katikati mwa jiji la Galkayo nchini Somalia, na kuacha miili ikielea mitaani, kufuatia mafuriko mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini humo katika ...