Je unafahamu Mabuu ? Wadudu wanaotokeza mara nyingi katika nyama zinazo oza na sehemu za uchafu na mifereji ya maji machafu? Basi nisikushangaze sasa ukisikia utaweza kuwakuta katika sehemu ...
Hivi Kairbuni huenda hospitali nchini Kenya zikaanza kutumia Mabuu kama tiba. Nchi hiyo inasubiri utaratibu wa matumizi ya tiba hiyo ambayo imeonekana kutumika enzi za enzi. Uchunguzi wa awali ...