Sherehe za Eid Al-Fitr hutegemea na kuandama kwa mwezi, na hilo huashiria kuona na kuanza kwa mwezi wa Shawwal.
Saudi Arabia imetangaza kwamba Sikukuu ya Eid al-Fitr itaadhimishwa Jumapili, Machi 30, 2025, baada ya kuthibitishwa ...