Mwanamume nchini Japan amefariki siku tatu baada yake kusongwa na wali wakati wa shindano la kula kwa kasi. Mwanamume huyo, ambaye jina lake halijatolewa, alizimia wakati wa shindano hilo eneo la ...