Mara nyingi uhusiano huchukuliwa kuwa kati ya watu wawili tu. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba utamaduni huu sasa unaanza kutiliwa mashaka na kuchunguzwa kwa undani huku watu wakitafuta mbinu zao ...
Forbes ilizua maoni mengi wakati ilisema kuwa nyota wa mitandao ya kijamii Kylie Jenner amepata utajiri wa karibu dola bilioni 1 Ni mafanikio ambayo watu wachache sana wanaweza kuyapata.