Wanasayansi wamethibitisha kwamba aina ya kunguru mwitu kutoka New Caledonia kusini mwa Pacific wanaweza kutengeneza zana. Ndege hao walichunguzwa walipokua wakitumia midomo yao kuchukora chakula ...