Kisiwa cha Pemba hivi majuzi kiliandaa tamasha ya juma moja ambayo ilionyesha tamaduni za kuanzia tangu karne ya 16 wakati Ureno ilitawala visiwa vya eneo huilo. Chanzo cha picha, Catherine Tilke ...
Kisiwa kidogo cha Pemba katika bahari ya Hindi, kilikuwa ndio walimaji wakubwa wa karafuu duniani kwa miaka na mikaka. Hivi karibuni, nafasi hiyo hivi karibuni imechukuliwa na Indonesia.
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo tutakupeleka hadi kaskazini kwa kisiwa cha Pemba ambapo huko utapata kusikia maoni ya wanawake wanavyonufaika na miundombinu ya barabara kuzifikia huduma za ...