Kisima cha Karne ya 13 kilichopo wilaya ya Bagamoyo ni moja kati vivutio vikubwa kwenye makumbusho ya kale ya Kaole. Maji ya kisima hicho ni baridi licha kuwa karibu na ufukwe wa bahari ya hindi ...