Mkoa mmoja nchini China umefunga maeneo 32 ya kuvutia watalii yaliyojengwa kwa kioo - ikiwa ni pamoja na madaja, njia za kutembea kwa miguu na maeneo ya kujionea kwa umbali mandhari ya kupendeza ...
Daraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo limefunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China. Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na ...
Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Ustawi wa Jamii wameitaja Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kama darasa la utoaji wa ...