Daraja hilo litaunganisha eneo la Kigamboni na mji wa Dar es Salaam. Ujenzi wa daraja hilo umegharimu zaidi dola milioni 140. Daraja la Kigamboni linatarajiwa kurahisisha usafiri na uchukuzi ...
eneo la kigamboni jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bwana Mohamed Aboud, mwili wa Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ambaye pia alikuwa ni Makamu ...