Mahakama ya Rufani imewaachia huru Fred Nyagawa na Isaya Mgimba, waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua dereva bodaboda, Mchape Mkosa.
“Kifo cha ndugu yetu Kibao kimeibua wimbi kubwa, kulaani, kusikitika, kulaumu, kuita serikali ya wauaji, kufanyaje, hii sio sawa,” alisema Rais Samia. Mtazamo huo wa Rais Samia haukutarajiwa ...