Kifo cha Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kilipokelewa kwa mshutuko sana na watu wengi ndani na nje ya Tanzania . Rais huyo wa zamani ambaye anazikwa leo nyumbani kwake Chato mkoani Geita ...
Kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga ameandika ujumbe mrefu wa salamu za rambirambi akimbukumba rafiki yake Hayati John Pombe Magufuli. Amesimulia jinsi alivyopokea habari za kifo ...
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la John Pombe Magufuli  (Kigongo-Busisi) linalounganisha mkoa wa Mwanza na ...
Isaac Muyenjwa Gamba 24.12.2015 24 Desemba 2015 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amekamilisha uteuzi wa nafasi za mawaziri wa wizara nne zilizokuwa zimesalia katika ...