Kifo cha Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kilipokelewa kwa mshutuko sana na watu wengi ndani na nje ya Tanzania . Rais huyo wa zamani ambaye anazikwa leo nyumbani kwake Chato mkoani Geita ...
Kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga ameandika ujumbe mrefu wa salamu za rambirambi akimbukumba rafiki yake Hayati John Pombe Magufuli. Amesimulia jinsi alivyopokea habari za kifo ...