2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.
Mwanasiasa wa upinzani nchini ... za vijijini, iwe dhidi ya ufugaji wa kamba wa viwandani au makampuni ya kigeni ya kuchimba dhahabu. Soma pia: Lissu kurejea Tanzania kudai katiba mpya Pia ...
Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na vitendo vya kikatili ...
Katika safu yake ya kila wiki kwenye gazeti la lugha ya Kiingereza la The East African wiki hii, mwandishi wa habari mkongwe nchini ... ambapo siasa za Tanzania na kizazi cha kisiasa kikiwa ...
Mgombea uenyekiti Chadema Taifa, Tundu Lissu akifurahia akiwa ndani ya ukumbi wa Mlimani City kabla ya matokeo rasmi ya uenyekiti wa chama hicho kutangazwa. Lissu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe, ...
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetaka wadau wa kisiasa, viongozi wa dini, taasisi za umma na wataalamu kukutana ...
Wakati huu tunakuletea Salamu za Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Japani Baraka Luvanda na Kaimu Balozi wa Kenya nchini Japani Arthur Andambi. Aidha, utasikiliza ...