Mmea huu unakuzwa katika maeneo ya mlima Kenya hasa Embu na Meru na umekuwa biashara ya thamani ya mamilioni ya fedha kwa kuwa na wateja wengi. Viongozi wa kaunti tatu katika pwani ya Kenya ...