Baadhi ya wanapokabiliwa na tatizo kama hilo hukimbilia duka la dawa na kupata vidonge vya kujitibu bila ushauri wa daktari. Kununua dawa bila maelekezo ya daktari sio jambo geni muongoni mwa rais ...