Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika. Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni ...
Licha ya kurejesha historia ya muziki nchini Tanzania na kuuongezea thamani muziki huo maarufu kama Bongo fleva, Mabadiliko haya yaliyoanza kujitokeza katika siku za hivi karibuni, yanawavutia ...