Mwezi Machi 2020, wakati Ruth Ozavize Ossai , alipohamia nchini Uingereza, hakudhani kuwa angehitaji kutuma maombi 400 ya kazi ndio apate kazi ya iliyokuwa ndoto yake. Ruth, ambaye ni Mnigeria ...
Barua iliyofichuliwa huenda ikachochea mjadala juu ya urithi wa Pius XII na kampeni yenye utata ya kumtangaza kuwa mtakatifu. Wafuasi wake wanadai alifanya kazi kisiri ili kuwasaidia Wayahudi ...