UKARIBU wa Maua Sama na Alikiba haujawahi kufafanuliwa hadharani, lakini wote ni wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye tasnia ...
Hali ya simanzi na huzuni imegubika familia ya msanii wa bongo Fleva Ali Kiba baada ya babake kufariki dunia mapema leo. Mzee Saleh Kiba alifariki katika hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa ...
Maelezo ya picha, Nyota wa muziki wa Bongo nchini Tanzania Ali Saleh Kiba ameuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenziwe kutoka Kenya 19 Aprili 2018 Nyota wa muziki wa Bongo nchini ...